CONRAD MURRAY IS BACK ( A BIT)

Daktari aliyedaiwa kumuua pasipo kusudi Marehemu king of pop MJ amerudi katika tasnia hii ya udaktari.
ukiacha hali ya kwamba leseni yake ya udaktari imezuiliwa katika maeneo mengi ya marekani , Daktari huyu kwa sasa atakua anatibu watoto tu.

Swali ni je atapata wagonjwa???? ila wengi wanajua na kukubali kwamba jamaa ni daktari mzuri ukiacha ile hali ya mgonjwa MMOJA tu.

Comments

Popular posts from this blog

10 Celebs Who Killed Their Careers After Dissing Beyonce

65 Home Business Ideas You Can Do From Your Kitchen Table

Top 7 Must Watch Tv Shows about Money and Business