Posts

Showing posts with the label INTERNATIONAL

RAIS OBAMA ASIFU UVAAJI WA FULANA YA I CAN'T BREATHE ALIYOVAA MCHEZAJI WA KIKAKPU LEBRON JAMES

Image
Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama amesifia uvaaji wa fulana wa mchezaji wa mpira wa kikapu Lebron James wakati alipokua akifanyiwa mahojiano na gazeti la the people magazine. Rais Barack Obama alipouliwa swali hilo nini mtizamo wake alisema nadhani ni jambo zuri kwa mchezaji huyo na wengine waliopaza sauti zao kuwakilisha mawazo yao kwa mambo yaliyotokea ya kuuwawa kwa Wamarekani weusi na polisi huko Ferguson jimbo la Missouri na Brooklyn New York na baadae mahakama kuwaachia huru polisi hao waliofanya mauaji hayo kwamba walikua wakitekeleza wajibu wao wa kazi. I can;t Breathe ni maneno ya mwisho aliyeongea Eric Garner kabla ya kukata roho baada ya kukabwa koo na polisi wakati walipokua wamekwenda kumtia mbaroni.

Boy, 17, sentenced to 23 YEARS for fatally shooting a retired police dog

Image
Ivins Rosier was tried as an adult in the November 2012 attack Police said he and two other teens broke into the home of a Florida trooper and shot a retired K-9 several times The German Shepherd died five days later Ivins was convicted in May of animal cruelty, armed burglary and shooting into an occupied building A 17-year-old boy has been sentenced to 23 years behind bars for fatally shooting a retired police dog during a burglary. Ivins Rosier was convicted in May for breaking into the Florida home of a trooper and shooting the officer's five-year-old German Shepherd two years ago. Drake, a former drug-sniffing dog, was euthanized five days later. Rosier, who was 16 at the time of the incident but tried as an adult, was sentenced on Friday on charges of animal cruelty, armed burglary and shooting into an occupied building. Convicted: Ivins Rosier, 17 (pictured left and right) was tried as an adult in the November 2012 burgl...

MAREKANI: WAZIRI WA ULINZI CHUCK HAGEL AJIUZULU

Image
Barack obama amekubali Jumatatu Novemba 24 ombi la kujiuzulu kwa waziri wake wa ulinzi, Chuk Hagel. Waziri wa ulinzi wa Marekani Chuck Hagel, amewasilisha barua yake ya kujiuzulu Jumatatu Novemba kwenye Ikulu ya Washington. Kujiuzulu huko kumetangazwa na Chuck Hagel wakati wa mkutano na vyombo vya habari, mkutano ambao umehudhuriwa na barack Obama. Kulingana na kauli ya Barack Obama, Chuk Hagel ndiye ametaka mwenyewe kutamatisha muhula wake kwenye wadhifa aliyokua akishikilia. Kati ya wawili hao hakuna aliyetoa maelezo zaidi kuhusu uamzi huo wa kujiuzulu. Lakini kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Marekani, waziri wa ulinzi alikua alipewa shinikizo. Gazeti la New York Times limebaini kwamba kujiuzulu kwa Chuk Hagel kunahusiana na hali ya kutoelewana iliyojitokeza katika vita vinavyoendeshwa na Marekani dhidi ya kundi la wapiganaji wa Dola la Kiislam nchini Iraq na Syria. Inasadikiwa kuwa Ikulu ya washington huenda ilikua ikitathmini mkakati wake dhidi...

Familia ya Kassig yamlilia Abdul-Rahman

Image
Wazazi wa Abdul-Rahman Kassig raia wa Marekani aliyekuwa akifanya kazi katika mashirika ya misaada ya kibinadamu nchini Syria ,wametoa rambi rambi zao kwa mtoto wao aliyeuawa kwa kuchinjwa na wapiganaji wa IS. Wamesema kuwa wamejifunza kutokana na maujaji hayo na kwamba wamewasamehe wauaji hao japo kuwa awali mioyo yao ilikuwa na huzuni mkubwa na uchungu kufuatia tukio hilo. Ed na Paula Kassig wadogo zake na Abdul Rahman Kassig wamemuelezea ndugu yao kwamba alikuwa mkweli na mfanyakazi mwaminifu katika mashirika ya kutoa misaada ya kibidamu ambaye alikuwa na mtazamo wa kutoa msaada na kujiepusha na udanganyifu wa aina yoyote. Hata hivyo familia hiyo ya Kassig imetoa rai ya kufanyika kwa maombi maalumu kwa watu wa Syria nchini Iraq na duniani kote mahala ambapo watu wanakabiliwa na vitendo vya ukiukwaji wa haki. Awali waziri wa kigeni wa Ufaransa Bernard Cazeneuve amesema kuna uwezekano mkubwa raia wa nchi hiyo walishiriki katika kitendo cha kumchinja Abdul kuto...

DR.MYLES MONROE NA MKE WAKE RUTH WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA NDEGE

Image
Dr. Myles Monroe akiwa na mkewe Ruth Dr. Myles Monroe, mke wake Ruth na mtoto wao Charissa  wamefariki dunia katika ajali mbaya na kusikitisha baada ya ndege binafsi waliyokuwa wamepanda kudondoka wakati wa kutua. Ndege ilipata ajali na kuua watu wote tisa (9) waliokuwemo katika ndege hiyo.  Dr. Myles Monroe atakumbukwa kwa vitabu vyake vingi vilivyolenga kuhamasisha watu na kuelezea watu juu ya maisha yake na namna tunavyoweza kubadilika ili tupate maisha bora.  Dr. Myles Monroe amehutubia nchi nyingi ikiwemo Tanzania. Dr. Myles Monroe alikua mwandishi, kiongozi na mchungaji bora. Daima atakumbukwa. Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi. Amina. Mungu awape nguvu familia,ndugu, jirani na watu wote waliofikwa na msiba huu. Bwana alitoa Bwana alitwaa

MABINGWA WA KUDANGANYA WHATSAPP, DAWA IMESHAPATIKANA!

Image
Kuanzia sasa ujumbe ambao tayari umepokelewa na kusomwa utakuwa unaonesha tiki mbili za blue upande wa kulia chini kwenye simu ya mtumaji, na uki bonyeza juu ya ujumbe huo itakuwa ikionesha muda ambao ujumbe huo ulisomwa.  Whatsapp wamewapunguzia sababu ya kujitetea wale wote wenye tabia za kutojibu message kwa kisingizio kuwa hawakuziona hata kama zilionesha tiki mbili kuashiaria zimefika. Sasa Whats App imeongeza alama ya kuonesha kuwa ujumbe umesomwa na muda ambao umesomwa. Kabla ya maboresho hayo kulikuwa na aina mbili tu za tiki, tiki moja ya kijivu ilikua ikionesha ujumbe umetumwa, tiki mbili za kijivu ziliashiria ujumbe umefika. Upande wa messages za group, tiki mbili za blue zitakuwa zikionekana pindi tu watu wote kwenye group wakiusoma ujumbe. Ili kuona mabadiliko hayo, mtumiaji wa Whatsapp anapaswa ku update app hiyo kwenye simu yake.

Boko Haram lawaoza wasichana wa Chibok

Image
Kundi la wanamgambo wa Boko Haram nchini Nigeria limekana madai kutoka kwa serikali ya Nigeria kuwa wameafikia makubaliano. Akizungumza kwa njia ya kanda ya video, kiongozi wa kundi hilo Abubakar Shekau alisema kuwa zaidi ya wasichana 200 waliotekwa nyara kutoka eneo la Chibok kaskazini mwa Nigeria wamebadili dina na kuwa waislamu na kwamba wameolewa.   Abubakr Shekau Shekau amasema kuwa hakujakuwa na majadiliano yoyote na serikali ya Nigeria. Kiongozi huyo wa Boko Haram pia alitumia ujumbe huo kuthibitisha kuwa wanamshikilia raia mmoja mjerumani ambaye anakisiwa kuwa mwalimu aliyetekwa nyara mwezi Julai. Serikali ya Nigeria inasema kuwa mazungumo na kundi Hilo yanaendelea kwenye nchi jirani ya Chad.

BUKINAFASO JESHI LACHUKUA NCHI,BUNGE LACHOMWA MOTO

Image
Waandamanaji wakilitazama bunge la Burkina Faso likiteketea kwa moto. Waandamanaji hao wakishangilia baada ya kuchoma bunge. Magari nayo yameteketezwa kwa moto. Mmoja wa wabunge nchini Burkina Faso akitorokea kuokoa maisha yake. Amiri jeshi mkuu wa jeshi la Burkina Faso Jenerali Honore Traore ametangaza kuvunjwa kwa serikali na bunge la taifa. Jenerali Traore hata hivyo hakutangaza ni nani atakayechukua uongozi wa taifa hilo. Jenerali Traore aliwaambia waandishi wa habari kuwa kutaundwa serikali ya mpito baada ya kufanyika mazungumzo baina ya wanasiasa wa upinzani na kiongozi Bwana Campaore. Jenerali Traore alikuwa akiwahutubia waandishi wa habari baada ya kushuhudia fuzo la maandamano katika mji mkuu wa Ouagadougou. Waandamanaji walivamia majengo ya bunge na majumba ya wafuasi wa rais Blaise Compaore wakipinga azimio lake la kutaka kubadilisha katiba ya taifa ilikumruhusu kuwania kipindi kingine cha uongozi baada ya kutawala kwa zaidi ya miaka 27. Awal...

NESI WA EBOLA ALIYEWEKEWA KARANTINI KUFIKISHWA MAHAKAMANI

Image
Nesi Kaci Hickox akiendesha baiskeli baada ya kuvunja karatini aliyowekewa wakati akiwa kwenye uchunguzi wa Ebola baada ya kurudi toka Afrika Magharibi alipokua akiwatibu wagonjwa wa Ebola Mamlaka ya afya mji wa Fort Kent, Maine uliopo mpakani wa Canada wamesema watamfikisha mahakamani Nesi Kaci Hickox baada ya kuvunja karantini siku ya Alhamisi Oktoba 30, 2014 kwa kutoka nje ya nyumba yake na kuendesha baiskeli takribani saa moja. Nesi Kaci Hickox aliwekewa karantini hiyo baada ya kurudi toka Afrika Magharibi alipokua amekwenda kuwatibia waathirika wa ugonjwa wa Ebola. Pamoja na ulinzi wa polisi uliowekwa nje ya nyumba yake Nesi Kaci Hickox alithubutu kutoka nje ya nyumba yake kwa siku mbili mfulululizo baada ya siku ya Jumatano Oktoba 29, 2014 kutoka nje ya nyumba yake na kuongea na waandishi wa habari huku akishikana mkono na baadhi ya waandishi hao. Nesi Kaci Hickox alitakiwa akae ndani ya nyumba yake kwa siku 21 mpaka Novemba 10

MWANAMKE ALIYESHINDA KITI CHA URAISI KWA MARA YA PILI

Image
Mwanamke wa kwanza kushika wadhifa wa urais nchini Brazil 2011, Diana Rousseff amechaguliwa tena kushika wadhifa huo katika uchaguzi mkuu uliofanyika siku ya Jumapili Oktoba 25 nchini humo.Baada ya kutangazwa kushinda katika kinyang’anyiro hicho, Rousseff mwenye umri wa miaka 66 amesema anahitaji kufanya vizuri katika awamu hii ya uongozi wake huku akisifia jitihada zake na rais aliyemtangulia Luiz Inacaio Da Silva kuwa katika vipindi vyao vya uongozi wametatua tatizo la ajira kwa kiasi kikubwa.  Rousseff ameshinda kwa 51.59% ambapo mpinzani wake Aecio Neves amepata kura 48.41%

Wakatoliki wakataa kuwatambua mashoga.

Image
  Makundi ya kikatoliki yanayopigania haki za wapenzi wa jinsia moja yameelezea ghadhabu yao kutokana na hatua ya maaskofu wa kanisa hilo ya kukataa mapendekezo ya kutangaza msimamo kuhusu mashoga, wasagaji pamoja na watu waliotalakiana na wanaoana. Wakati wa kumalizika kwa mkutano wa maaskofu wa kanisa katoliki, Vatican ilishindwa kupata theluthi mbili ya kura za maskofu wa kuunga mkono maoni yao kuhusu masuala hayo. Kundi la kutetea haki za wapenzi wa jinsia moja nchini Marekani la New Ways Ministry limesema kuwa hatua ya maskofu hao kuamua kujadili suala hilo ni matumaini ya siku za usoni. Masuala hayo yanatarajiwa kuzungumziwa tena baada ya mwaka mmoja.

MTOTO ALIYEOKOLEWA NA POLISI KENYA ALIKUWA ANAKUJA KUUZWA TANZANIA

Image
Ni pale ambapo unaweza kuvuta picha baba anajaribu kufanya mbinu za kumsafirisha mtoto wake kwenda nchi ya pili ili akamuuze kwa watu ambao ameshazungumza nao kabisa na wako tayari wanasubiria biashara ifanyike. Yani hiki kisa kilichotokea Kenya kina uzito wake mpana tu sababu Baba mzazi na Baba wa kambo wote wamehusika kwa nyakati tofauti kufanya mbinu za kutaka kumsafirisha mtoto huyu ambae ni Albino ili aje Tanzania kuuzwa na viungo vyake vitumike kwa imani za kishirikina. NTV  wameripoti kwamba Polisi wa Kenya ndio walimuokoa huyu mtoto akiwa tayari ameshaingizwa Tarime Tanzania akiwa anasafirishwa kwa siri na baba yake wa kufikia (wa kambo) ambapo mama mzazi amesema baada ya kuolewa na mume wa pili baada ya kuachana na yule wa kwanza ambae ndio baba wa mtoto, amekutana na kitu kilekile kama alichotaka kufanya mume wa kwanza, mume wa pili pia anataka kumuuza huyu mtoto. Mama wa mtoto anasema ‘ninachoshangaa ni kwamba baba yake mzazi alipotaka kumuuz...

USA:Mgonjwa wa kwanza wa Ebola afariki

Image
Mtu wa kwanza kupatikana na ugonjwa wa Ebola nchini Marekani amefariki ,hayo ni kwa mujibu wa maafisa wa afya katika hospitali ya Texas. Thomas Eric Duncan aliyeambukizwa ugonjwa wa Ebola huko nchini Liberia ,alikuwa amewekwa katika karantini katika hospitali moja ya mjini Dallas ili kupewa dawa za majaribio. Awali ,Marekani ilitangaza masharti mapya ya usalama katika viingilio vyote vya taifa hilo ili kuwakagua wasafiri walio na dalili za ugonjwa huo. Zaidi ya watu 3000 wamefariki na wengine 7500 kuambukizwa wengi wao kutoka Afrika Magharibi katika mlipuko mbaya wa ugonjwa wa Ebola. Huku Dancun akiwa raia wa kwanza nchini Marekani kupatikana na ugonjwa huo,raia watatu wa Marekani pamoja na mpiga picha mmoja waliambukizwa virusi vya ugonjwa huo nchini Liberia. Habari hizo zilijiri mda mchache tu baada ya waziri wa maswala ya kigeni nchini Marekani John Kerry kutoa wito kwa mataifa yote kuimarisha juhudi zao za kukabiliana na ugonjwa huo.

MCHUNGAJI ALIYEWALISHA WAUMINI MAJANI AJA NA MPYA..SASA AWAPONYA WAGONJWA KWA KUWAKANYAGA KANYAGA

Image
Yule Pastor Mwenye Vituko Vingi Kutoka South Afrika anayejulikana kwa jina la Lesego Daniel amekuja na Mpya baada ya kuwalisha majani waumini na kubadilisha petrol kuwa Juice ya Apple , Sasa eti anawaponya Waumini wake ambao wanasumbuliwa na magonjwa kwa kuwakanyaga migongoni... AngaliaPicha Hapo Juu

Tetesi za iPhone 6 kujipinda

Image
Watafiti wamechanganyikiwa kuhusu ikiwa kampuni ya Apple inapaswa kutoa kauli yake kuhusu ripoti kuwa simu yake mpya ya iPhone 6 inajipinda mtumiaji anapoishi kuiweka ndani ya mfuko wa suruale yake. Watu kadhaa ambao ni watumiaji wa iPhone 6 wamekuwa wakituma picha zao kwenye mtandao wa MacRumors ambazo zineonekana kuonyesha simu zao zikiwa na tatizo hilo. Mwandishi wa habari kwenye mtandao wa 'Geek.com' pia aliripoti kuwa simu yake ye iPhone 6 imejipinda. Na haijulikani nini hasa kinachoifanya simu hiyo kujipinda, baadhi wakisema huenda ni gamba lake ambalo limetengezwa kwa madini ya Aluminium ambalo linaifanya rahisi kwa simu hiyo kujipinda. Taarifa za iPhone 6 kujipinda hazijaripotiwa tu kwenye blogu za habari za kiteknolojia bali pia kwenye vyombo vya habari kama Independent, the Washington Post, India Today na the Sydney Morning Herald.   Baadhi ya watu wameku wakituma picha za simu zao zilizojipinda ...

MAELFU WA WATU WAKIWA NA FULL SHANGWE YA KUISHIKA IPHONE 6

Image
Mashabiki wa Apple Ijumaa hii wamezishika simu zao mpya za iPhone 6 baada ya kungojea kwa siku kadhaa nje ya maduka yanayouza simu. Hata hivyo, zaidi ya iPhones milioni 5 zinaweza kuishia kwenye soko haramu la Kichina ambapo zinaweza kuuzwa kwa bei mara tatu zaidi. Jijini London Ijumaa hii mamia ya watu walikuwa wamejipanga kwenye mistari mirefu huko Covent Garden na Regent Street walionekana wakisherehekea kila baada ya kupata simu zao. Sam Sheikh, 27, anayeishi London, amedai kuwa amesubiria kwa siku tatu kungoja siku yake na amekuwa mteja wa kwanza wa Uingereza kupata simu  Wakati huo huo huko Marekani kwenye duka la Birmingham kulikuwa na msululu mrefu wa zaidi ya mita 100 ambapo simu zote ziliisha ndani ya dakika 10 tu. Simu hizo zinauzwa kwa kuanzia £539 kwa zile zenye GB16, £619 kwa zile zenye GB 64 na £699 kwa simu zenye GB 128. iPhone 6 Plus zinauzwa kwa kuanzia £619 kwa ile yenye 16GB, £699 kwa yenye 64GB na £789 yenye 128GB.  ...

Bill & Melinda Gates Donates $50m To Help Fight Ebola In West Africa

Image
The Bill & Melinda Gates Foundation is donating $50 million (about N8 billion) to West Africa to assist in the fight against Ebola. The foundation will be making the donation via the United Nations and other international organizations working to stop the outbreak. A part of the funds will also go towards funding medical firms that are researching treatments, technologies, and vaccines for the disease. Sue Desmond-Hellmann, CEO of the Gates Foundation spoke about the donation, stating, “we are working urgently with our partners to identify the most effective ways to help them save lives now and stop transmission of this deadly disease. We also want to accelerate the development of treatments, vaccines and diagnostics that can help end this epidemic and prevent future outbreaks.” Follow us on:                     Instagram/  @24tz    Face...

AL-SHABAAB WAKIRI KIFO CHA KIONGOZI WAO!

Image
Wapiganaji wa Al-shabaab Kundi la wapiganaji wa kisomali Al-shabaab limethibitisha kuwa kiongozi wake Ahmed Abdi Godane aliuawa siku ya jumatatu katika shambulizi la angani lililotekelezwa na wanajeshi wa Marekani.  Msemaji wa Alshabaab amesema kuwa wanachama wengine wawili wa kundi hilo pia walifariki katika shambulizi hilo ,yapata kilomita 170 kusini mwa mji mkuu wa Mogadishu.   Ripoti zinasema kuwa kundi la Alshabaab limemchagua kiongozi mpya Ahmad Omar,katika mkutano uliofanyika katika eneo lisilojulikana. Mwandishi wa BBC mjini Nairobi amesema kuwa kiongozi huyo hafahamiki vyema.

NEW VIDEO:P-SQUARE FT T.I - EAJAO

Image
           Follow us on:                     Instagram/  @24tz    Facebook/ 24tz                        

Who pays for United States first lady's fabulous fashions?

Image
By NANCY BENAC   . WASHINGTON (AP) — Michelle Obama's fashionable clothing has become something of a given in her five-plus years as first lady. Yet her wardrobe still is the subject of endless public fascination and one long-simmering question: Who pays for those incredible outfits? Related Stories Obama and Hillary Clinton lunch at the White House Associated Press Obama Makes A Promise About Michelle Running For Office Huffington Post First lady: Daughter will be driving this summer Associated Press Michelle Obama hosts talk on gi...