GERALD PIQUE VS REALITY

Baada ya Shakira kudai kwamba baby ake mwanasoka wa Barcelona Gerald Pique amempiga stop kuwa zero distance na kuguswa guswa na ma video models/ mastaa wa kiume. Huku akimruhusu kuwa COZY na wanawake wenzie ( video ya Cant't remember to forget you).

Star wa hollywood Josh Duhamel ambaye pia ni mume wa Star wa Black Eyed Peas Fergie amemruhusu mkewe kufanya atakacho. Nikimnukuu "Have all the guys you want, I will just watch."

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

10 Celebs Who Killed Their Careers After Dissing Beyonce

65 Home Business Ideas You Can Do From Your Kitchen Table

Top 7 Must Watch Tv Shows about Money and Business