MASIKINI WEMA SEPETU
Miss Tanzania 2006 na mwigizaji maarufu nchini alipatwa na tukio la kusikitisha la kuibiwa pete yake ya dhahabu katika uzinduzi wa filamu ya kigodoro pale Dar live.
Tukio hilo la kusikitisha lilitokea wakat star huyo akiwapa mkono mashabiki wake akiwa stejin. kwa mujibu wa reality show yake ya IN MY SHOES.
Pole zangu za dhati kwa mrembo HUYU , natumain atanunua mpya na hatozivaa tena stejini.
pole yake...next time awe makin
ReplyDelete