NICKI MINAJI ENGAGED OR MARRIED???????
Nicki Minaj amezidi kuwachanganya mashabiki zake.
Hivi kati akiwa anakula bhata na mchumba wake Samuel Safaree wote wawili walionekana na pete kwenye vidole mahususi.....
Huku tukiwa tumezoea kwamba pete ya uchumba anavaa mwanamke peke yake. Kuwaona wote wawili wamevaa pete , Swali linakua je wameoana , kimya kimya?????
Nicki Minaj please say something...
Comments
Post a Comment