WHAT HAPPENED TO AIR MALAYSIA MH 370????
Wataalam mbalimbali wameibuka na theories mbalimbali ambazo inawezekana ndo chanzo cha kupotea kwa ndege hii kubwa kabisa. Ni tukio la kusikitisha sana hasa hasa kwa ndugu jamaa na marafiki wa abiria waliokuwemo.
Japo hii si mara ya kwanza kwa tukio kama hili kutokea AIR FRANCE 447 ilipotea na kuja kuonekana baada ya miaka miwili na nusu.
AIR FRANCE 447 ilipotea 2009 na kuja kuonekana 2012 chini ya bahari ya atlantic, sema tu AIR FRANCE ilijulikana kwamba ililipuka ila ilipokuwa ndo hapakujulikana. Iliua abiria 219 na wafanyakazi 12.
Wataalamu mbalimbali wameibuka na sababu zifuatazo wakisisitiza kushindwa kwa marubani hawa kutoa taarifa ni kuelezea ukubwa wa JANGA lililowakumba na halikuwapa nafasi ya kujielezea.
SABABU KUU ZILIZOTOLEWA
1/ MECHANICAL FAILURE
Kushindwa huku kwa injini na vifaa muhimu vya ndege kulisababisha ishindwe kusoma katika Radar.
2/ PILOT SABOTAGE
Inawezekana rubani au abiria ndani ya ndege mwenye ujuzi na ndege aliizima vifaa muhimu vya ndege hiyo ili kuiwzesha kuruka bila kuonekana.
3/ PILOT FAILURE
Japo hoja hii imepingwa sana na AIR MALAYSIAN OFFICE ambayo imetoa tamko kwamba marubani hao wana ujuzi mkubwa huku mmoja akiwa amejiunga 1981 na mwingine 2007.
4/ TERRORISM
Japo kama kweli si wangekua washajigamba????
5/ THE PLANE KEPT FLYING
Ukiniuliza nitakuambia ipo Mars.... au ndege iliendelea kupaa angani na ipo sehemu hapahapa dunian na hao watu wakiwa salama.
HOPE IS ALL WE ALL NEED.
OUR PRAYERS ARE WITH THEM.
GOD KNOWS BEST
lenbiWidbi Justin Miller https://wakelet.com/wake/7gZSsV3zZMQT8GTzxGY0r
ReplyDeletecourtdustmillsupp