Mama yake Zito Kabwe afariki dunia

Shida Salumu


siku chache kabla ya kifo chake Raisi wa jamhuri
wa Muungano wa Tanzania
alienda kumjulia hali




Week mbili za majonzi, poleni sana wafiwa tunasema kazi ya Mungu haina makosa. maana yeye ndiye anayejua kila kitu, Zitto Kabwe (Mb Chadema) amefiwa na mama yake mzazi na mwili tayari upo Kigoma tayari kwa mazishi..

poleni sana wafiwa tena sana najua mpo wengi na wengine ambao hatuwajui,ila tunazidi kuwapa nguvu katika kipindi hichi....

Comments

Popular posts from this blog

10 Celebs Who Killed Their Careers After Dissing Beyonce

65 Home Business Ideas You Can Do From Your Kitchen Table

Top 7 Must Watch Tv Shows about Money and Business