BIASHARA AMBAZO ZINAWEZA KUANZISHWA NA MTAJI MDOGO AU BILA MTAJI KABISA
- Kuosha magari (Car Wash)
- Blogging
- Urembaji wa keki (Cake decorating)
- Utengenezaji mishumaa
- Mama Ntilie (Catering)
- Kutembeza vyakula maofisini (Mobile food vendor)
- Kazi ya usafi maofisini (kama mkiwa mmejikusanya kama kikundi)
- Computer troubleshooting (kwa graduates wa IT, Computer technicians)
- Event coordinator
- Kutumbuiza kwenye matukio kama DJ (Event DJing)
- Exercise/Sports instructor (wengi wanahitaji huduma hii)
- Utengenezaji wa fenicha
- Utunzaji wa bustani (Gardening, Landscaping etc)
- Usafishaji wa nyumba mtaani (House cleaning)
- Interior decorating (naona wengine hadi wanajiita 'interior designers')
- Kusaidia watu kubeba mizigo wakitoka kwenye manunuzi (Personal shopping assistant)
- Uuzaji wa nafaka/mazao toka kwa wakulima mikoani (wanahitaji kiunganishi na wateja wa mijini)
- Usahihishaji wa lugha/maandishi kwenye ofisi mbalimbali pamoja na vyombo vya habari (Proofreading)
- Kuwa MC kwenye matukio mbalimbali (Unatakiwa kusoma vitabu vya Public speaking zaidi)
- Kutengeneza sabuni (Soap making)
- Kufundisha (Teaching); hapa namaanisha kila mtu ana kitu anafahamu ambacho anaweza kuwa mwalimu mzuri
- Website design (kama ulisomea mambo ya graphics n.k)
- Software developer (kama umesomea software engineering n.k)
- Wedding planner/Event Cordinator
Kama kuna nyingine tunaweza saidiana katika kuziongezea ili kuongeza maarifa na kupunguza utegemezi na umasikini.
Courtesy:JF
Comments
Post a Comment