Teh teh teh teh


men baada ya kuachana na girl ambaye alimpenda sana, mawazo yakamjia nimtext my ex maana nampenda sana.
akamteqt ya kwanza "oh mpenz bado nakupenda usifanye hvyo dear nataka kuwa nawe tena" akakaa baada ya dkk 5 hakuna jibu
akamtext ya pili "mpenzi mbona unaniumiza na kuniacha nateseka jama afu haujibu sms au umekasirika" akasubiri hakuna jibu tena, akamcall simu ikaita hakuna jibu, akapiga mpaka mara tano hakuna jibu
akamtext tena "hebu niondokee hapa unalinga hata sura hauna, mrenge ww" haikujibiwa, akapiga xaxa
simu ikapokelewa "hallo mie cyo Tina ni jaoe tina kaacha simu niichaji xaxa nimeona call nying nimeamua nikujibu"
jamaa alichanganyikiwa " jane jane tafathari nitakutumia 5000 futa hzo sms na mis call zote nipo chini ya miguu yako jane tafadhali"
teh teh teh teh teh

Comments

Popular posts from this blog

10 Celebs Who Killed Their Careers After Dissing Beyonce

65 Home Business Ideas You Can Do From Your Kitchen Table

Top 7 Must Watch Tv Shows about Money and Business