TUCHEKE NA MLEVI HUYU
MLEVI mmoja alioa mke.
.
Mkewe alikuwa hajatulia
hata kidogo. Siku moja
mkewe akiwa anajivinjari
na msela, MLEVI akarudi home ghafla. mkewe
akamwambia yule msela
Usiondoke, lala hivo hivo
mume wangu mlevi
hatagundua..... ..Msela
akalala kweli........ba si mlevi akapanda
kitandani wote watatu
wakalala..... Baada
ya muda kidogo mlevi
akagutuka, akagundua
utofauti hapo kitandani,
akahesabu miguu na kuona ipo sita, akamshtua
mkewe,....."mke
wangu,mbona miguu ipo
sita nani kalala hapa??"....
Mkewe akamjibu kwa
ukali,.toka hapa na pombe zako,miguu sita
itoke wap hebu
shuka kitandani
uhesabu vizuri..! Mlevi
akashuka, akahesabu..
MOJA..MBILI..TATU..NNE....AHAA KUMBE KWELI NILIKOSEA KUHESABU,SAMAHA
N MKE WANGU!!!

Comments
Post a Comment