MWANAMKE ALIYESHINDA KITI CHA URAISI KWA MARA YA PILI
Mwanamke wa kwanza kushika wadhifa wa urais nchini Brazil 2011, Diana
Rousseff amechaguliwa tena kushika wadhifa huo katika uchaguzi mkuu
uliofanyika siku ya Jumapili Oktoba 25 nchini humo.Baada ya kutangazwa
kushinda katika kinyang’anyiro hicho, Rousseff mwenye umri wa miaka 66
amesema anahitaji kufanya vizuri katika awamu hii ya uongozi wake huku
akisifia jitihada zake na rais aliyemtangulia Luiz Inacaio Da Silva kuwa
katika vipindi vyao vya uongozi wametatua tatizo la ajira kwa kiasi
kikubwa.
Rousseff ameshinda kwa 51.59% ambapo mpinzani wake Aecio Neves amepata kura 48.41%
Comments
Post a Comment