DR.MYLES MONROE NA MKE WAKE RUTH WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA NDEGE


Dr Myles Munroe and his wife Ruth.
Dr. Myles Monroe akiwa na mkewe Ruth

Dr. Myles Monroe, mke wake Ruth na mtoto wao Charissa  wamefariki dunia katika ajali mbaya na kusikitisha baada ya ndege binafsi waliyokuwa wamepanda kudondoka wakati wa kutua.
Ndege ilipata ajali na kuua watu wote tisa (9) waliokuwemo katika ndege hiyo.

 Dr. Myles Monroe atakumbukwa kwa vitabu vyake vingi vilivyolenga kuhamasisha watu na kuelezea watu juu ya maisha yake na namna tunavyoweza kubadilika ili tupate maisha bora.
 Dr. Myles Monroe amehutubia nchi nyingi ikiwemo Tanzania.

Dr. Myles Monroe alikua mwandishi, kiongozi na mchungaji bora. Daima atakumbukwa.
Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi. Amina.
Mungu awape nguvu familia,ndugu, jirani na watu wote waliofikwa na msiba huu.
Bwana alitoa Bwana alitwaa

Comments

Popular posts from this blog

10 Celebs Who Killed Their Careers After Dissing Beyonce

65 Home Business Ideas You Can Do From Your Kitchen Table

Top 7 Must Watch Tv Shows about Money and Business