

Baada ya Justin Timberlake na mkewe Jessica Biel kuja serengeti kwenye honeymoon yao sasa imekua zamu ya Gabrielle staa wa kipindi cha Being MaryJane na mmewe Dwayne mcheza mpira kwa kikapu wa Miami Heat na hivyo kuchangiakatika kutangaza utalii na ukarimu wetu wa Tanzania
Follow us on:
Instagram/ @24tz
Facebook/ 24tz
Comments
Post a Comment