MBUNGE WA KIGOMA KUSINI,MHE DAVID KAFULILA NA JESSICA KISHOA WAMEREMETA MJINI UVINZA
 Mbunge wa Kigoma Kusini Mhe David Kafulila akiwa na mai waifu wake
 Jessica Kishoa wakijiandaa kukata utepe wa kuingia katika mnuso kwenye 
ukumbi wa Annex uliopo Uvinza, Kigoma,  jana Jumamosi Novemba 22, 2014
.jpg)
 Mhe
 David Kafulila akiwa kanisani  na mai waifu wake wa Jessica Kishoa 
wakati wa  kufunga ndoa katika kanisa la Roman Catholic katika Parokia 
ya uvinza, Kigoma, jana Jumamosi Novemba 22, 2014
.jpg)
 Mhe
 David Kafulila na mai waifu wake Jessica Kishoa pamoja na wapambe wao 
Mhe. Deo Filikujombe na mke wake Sarah Filikunjombe wakipeleka keki kwa 
wazazi wa bwana harusi 
.jpg)
Baadhi
 ya Waheshimiwa Wabunge waliopamba  harusi ya Mhe. David Kafulila katika
 picha ya pamoja. Kutoka kushoto ni Mhe Deo Filikunjombe. Mhe.David 
Kafulila ambaye ndiye Bw. Harusi, Mhe  Zitto Kabwe na Mhe David 
 Silinde. Picha zote na Editha Karlo wa Globu ya Jamii, Kigoma
.jpg)
Comments
Post a Comment