CHEKI MJENGO WA NEY WA MITEGO



Ney wa Mitego kaamua kufanya yake na kuanika nyumba yake matata aliyoijenga kimya kimya bila makelele.
 Pemben akiwa na gari alilojinunulia kama zawadi yake ya sikukuu ya kuzaliwa.

Big up kwake kwa kupiga hatua kubwa katika maisha yake.
Bado tunasubiri nyumba ya #Diamond Platinumz imalizike

Comments

Popular posts from this blog

10 Celebs Who Killed Their Careers After Dissing Beyonce

This List of Infographics About Achieving Success Will Surely Inspire You

Top 7 Must Watch Tv Shows about Money and Business